Jamaa Bathing Soap

hii ni allergy ya matitis ama ni nini

2 Likes

Ariel pia iko poa, kwa muosho mmoja tu.

3 Likes

wanaume na sabuni…

1 Like

:D:D:D:D:D:D

1 Like

@Zee yaa nkieke? Anuke muna esufuria? :smiley: :smiley:

upuss…scented soaps give me rashes…so bar soap all the time…

2 Likes

Peasant tingz…

sio zote but kuna zingine jo…especially the white ones menengai ndio hua natumia

1 Like

muthuti

Kwani mapua yako ni kubwa aje my friend?

2 Likes

Kitu huingia kwa mapua ni handkerchief kutoa makamasi. Kusugua pua na sabuni ni overkill maze. Ama pua ni kama ya Eugene Wamalwa inamaliza oxygen kwa bafu inaanza kubreath sabuni?

1 Like

Hii p30 ni sabuni imetengenezwa na mafuta ya marinated tortoise ama?

2 Likes

:cool:

:D:D:D:D:D

Anamaanisha ile ya kuingia kimakosa, kama vile saa zingine huingia machoni pia.

1 Like

Mblo, tactis za kuvuruta makamasi, real or imagined, sabuni ikiwa usoni mi apan tambua

Kitu ababu namwamba anaadvertise. You can easily get deffection like @uwesmake

…Aha, that is how @mukuna started.

2 Likes

:D:D:D:D

Sabuni ni ushindi ya green

1 Like

he he…hung’arisha uchafu wa miezi sita…:D:D:D:D:D

2 Likes

:D:D:D Na inaacha ka fragrance kanakaa miezi ingine tatu

2 Likes