Jamaa amenyuria after kuwekewa mchele

[ATTACH=full]456255[/ATTACH]

Chinaman wamemfanyia ile kitu akadedi… vile next week gava ikifanyia ule jamaa wenu ile kitu; utastuka heart attack pap… luwere my friend.

Assasin

China haiweskubali Taiwan iwe base ya bazungu…for its own security…wanaona vile wanakuwa encroached from all sides by war ships na military bases…

uchokozi ya bazungu…anatoka kwake anakam kuchocha kwenyu…literally anatravel opposite side ya globe…kuzoa vurugu…ili katambe auze weapons…to clear his old stock of outdated weaponry and junk war planes n chopppers … alafu apite na nyinyi mkimalizana…hawes tuliza kinyambiz kwake…na hataki kinyambiz yako kwake ambaye si hata kwake :rolleyes::rolleyes:…human history shows man has been in a constant state of war for thousands of years…there is always a greedy evil prick in charge at the expense of the weak…maybe or not… it’s nature