Jalango and Mwakideu cut their building costs in half through influencer marketing

This is a huge achievement in the influencer world. Kujengewa nyumba na sponsors si mchezo. Apparently the houses were supposed to cost 12m each, lakini through sponsorship, they are now only gonna pay about 6.5m each

https://www.youtube.com/watch?v=VJx9F_iuMtA

Hapa huwezi ona ile Jakadala Otieno @Tom Bayeye . Akiskia mambo inahusu kujenga nyumba ahame ploti ya Okuyu huwa anajirushia foreskin flaps zake kama blanketi and he hides away from the world.

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Jakadala Oti.

[ATTACH=full]382764[/ATTACH]

Hapa kuna watu wanachezwa. Hata hiyo 6.5M bado ni mob sana. That aside nimependa hiyo flat roof top yao…Meanwhie yangu ndio hii bila influencers[ATTACH=full]382780[/ATTACH]

Nilihamia kwangu wakati bado ulikua unanyonga na sabuni ya wazazi wako. So,yeah,siezi changia:D:D

Umejiamini bila fence. Ama iko kwa shamba ya family?

mkubwa fence iko though barbed wire tu

Keep the good work, I am inspired

Ukibuy kitu kwa hii Kenya there’s always that negro claiming that umechezwa bei. Maybe Alex and Jalas didn’t want the most basic structure like yours?

Mimi yangu wizi ndio imenirudisha nyuma

Huko nikufiti basi,huku kwetu unaambiwa na mjenzi uweke fence ya mawe na gate usiporwe na magaidi kumbe gaidi ni yeye

Kinyozi, hapo Ruaka stage sio kwako, hio ni mali ya Kiambu ama Nairobi county.

(Najua ile siku kibanda yako itakuja kufurushwa utaanza kuwika umeishi hapo tangu 2008, sijui hukupewa notice, sijui ni kwako, sijui kwani Uhuru anataka watu waishi aje, sijui uchome tyre, mara urushe guton ukitumia foreskin yako kama feya…)

Apo sawa. Akuna kitu tamu kama freedom ya kukaa rent free. Kongole mujamaa

But sasa nani anaeza ishi huko bana, unless kazi imeisha ukaenda retire? Huko labda uwe na 4 wheel drive vehicle juu ile matope utakuwa ukipambana nayo kukinyesha! No roads, no sewerage system, no electricity (kina jalas can pull strings to “vuruta” stima, lakini the average bonobo atadu?). The nearest basic amenities kama schools, hospitals, na shopping centres ziko 10 to 15 kms away. This project makes absolutely no sense.

unakula nini hapo kaka…:D:D:D

Usijali. Kila kitu na time yake.

Estate zote zilianza hivo including Runda, Karen, Lavington etcetera.

There has to be a pioneer a founding father to break the earth.

In the early 90s there were no estates along Thika rd. But when you visit the place today…

Just recently there was no Membley Estate or Kamakis. The Membley rd near clayworks was pure hell and was even featured on the news. But today getting a plot there is tricky.

In 1987 the whole of Ruaka was a village with tea plantations. There was no Runda. Runda was a very dangerous place full of mungiki type thugs, with very bad roads. People were buying land in Runda for 100k for a half acre or even full acre. Leo ni 100 million no negotiation.

@Tom Bayeye vs @patco :D:D:D

Yup, but you have to admit, it takes a lot of bravery to be that pioneer. Kama saa hii kule kwa kina Jalas inakaa jangwani kule Joska, but by the next generation utapata Joska is a well known location. The best thing they have done is to set a high standard as the pioneers. Sasa wenye watakuja after that hopefully watajenga nyumba nzuri pia juu ya peer pressure and the place develops into a leafy suburb. The only problem I see is that they are sitting ducks for thieves with those two luxurious houses in the middle of nowhere. Ata pengine watu wao wa kujenga washawapangia. Happened to my friend, vile walijenga Karen, waliibiwa in the first week after moving by the same same brick layers wenye waliandika kujenga nyumba yao :smiley: :smiley: :smiley: