Jagathi Walks

[MEDIA=twitter]1644624290707394561[/MEDIA]

Akijidai haoni camera

huyu jamaa hawezi mwagiwa siafu kwa hio base yake amejificha awache kusumbua madereva?

A overspeeding vehicle is a disaster in waiting.

Kuna karao aliumwaga na python pale kwa shamba ya kenyatta mbele ya by pass ukielekea ku kitambo wakati walikuwa wakiweka speed traps apo hawajawai rudi uko

Hakuna masniper mount kenya wamalize ghasia

:D:D:D:D

Riggy G na Pastor Dorcas nikaa wanaenda through some sort of life crisis. Na si midlife crisis … hii yao sijui ni pre-golden age crisis ama gani …

I have had enough of this couple.

Hehe hii story niliwahi kusikia mahali nikadhani ni story ya jaba

Mafwi in my eyes

Hio chatu ilifanya kazi msooori:D

D- Ni watu waoga Sana when faced with formidable foe. @Gaza can testify. They are good at maiming harmless citizen. Time ya maadamano pale mlango kubwa kuna D- alipanda ukuta kama paka. Ilibidii wa attack watu ya media ndio footage isileak to save face.