jackton ojwang

hii ngombe jaruo si iseme tu decision yake instead of kutusomea novel mzima kama zile za Robert Ludlum (bourne supremacy ) za 2000 pages . nktt mpaka usiku imefika bana tukiwa kortini .

Ala? Ndio maana hawakuweka Euro game kwa slot ya Saa kumi? Kumbe kulikuwa na kesi kortini…Amalize haraka ndio walete game ya saa moja

banaa huyu ngombe anaongea long anapiga watu lecture as if ni watoi wake huyu jamaa ni kama wale walimu walikuwa wako na physics double class na anachukua P.E na half ya lunchtime unaenda unapata food iliisha kwa kitchen .

3 Likes

hata mimi nashangaa mbona hakuna game saa kumi

lunchtime unaenda unapata food iliisha kwa kitchen .

Hehehe…mluhya na chakula wacha tu!!!

2 Likes

Na wewe unakuaga na njaa saa yote kwani wewe ni refugee?

3 Likes

MIMI NI DRYFRY CHAIMAN

1 Like

So ni njaa ya nyama dry fry?

Effect za Dryfry na hard liquor, @uwesmake, the one and only [ATTACH=full]44041[/ATTACH]

You need to eat some beef though.

5 Likes

IBRAHIM AMEJITOA
WANJALA AMEJITOA
MUTUNGA ANAJITOA

MTU AKIFIKA 70 YEARS AENDE HOME WAACHE UPUS ITS OFFICIAL .

1 Like

…chief! Umefanya ni cheke karibu nipasuke!

1 Like

Na fulana.

1 Like
1 Like