Gani inakaa swara
Swansea - Leicester
Watford - Norwich
[ATTACH=full]23232[/ATTACH]
HII NI YANGU NAONA EXPECATIONS NA PRESSURE KWA VARDY ZINAWEZA FANYA LEO A PERFORM POORLY KWA HIVYO LEICESTER WANAWEZA DRAW LAKINI NIWEKA DRAW AMA WIN
[ATTACH=full]23234[/ATTACH]
za leo ni noma aisee
http://i1.kym-cdn.com/photos/images/newsfeed/000/415/209/3b4.png
Leo karibu 7 games Ni hard kupredict
[ATTACH=full]23236[/ATTACH]
KWANI HUAMINI DRAW BWANA VIRUSI
he he sipendi madraw. last week kulikuwa na draw saba
Ata mimi siwezi bet draw heri GG basi
West ham itafanya JP cash iruke.
Swansea itakamua Leicester
Watford draw
Borrussia win
West Bromwich ikamue spurs
Sampdoria ichape Sassuolo
Barcelona waokote point moja.
Kama ulikuwa umeekea Bayern Munich bet ya win, ole wako…
Moments of truth.
man u kutu waste
:D:D:D:D @The_Virus analala na viatu
EPL ni risky sana kubet.
Hata sijafuatilia. Kichapo ya Bournemouth iliniuma bana
Hehehe ata Liverpool iko under Sieke