Jackie Chan injuries

Are we sure huyu jama ni binadamu?
[ATTACH=full]282803[/ATTACH]

He’s blacklisted by all insurance companies.Too dangerous to be insurable

Huyu jamaa alikuwa joker sanaaaa but hierarchy yangu ilikuwanga

Jet li
Jackie Chan
Bolo yeung
Van Damme

Wapi mkubwa Bruce Lee hapo? He deserves #1

[ATTACH=full]282805[/ATTACH]
@Motokubwa to bae @uwesmake

Bruce Lee hayuko coz he was not a figter of my generation

For once,hujabonga kama ngombe mjeengha…

Then that’s just your personal opinion which I have no qualms about, but do know that without Bruce most of your list wouldn’t exist

Boss,he did not deny that Bruce was good or the best. He just indicated that he could not rank him since he had not seen his movies. As such he could nor rank him. His list was based in his movie watching history kwa video dens za Shamakhokho :D:D

He was my best action comedy artist. Reminds me enzi za kuwatch zile movies za kulipa 5bob na DJ ndani. Kupata kobole ndio ilikuwa ngoma manze!!!

I know which is why I said it’s his opinion and I got no problem with it

I used to go to these local movie zones (wouldn’t exactly call it a theater) zima jaa moshi za feegi na kuna nuka ndani, it was hell but you’d forget all about it once the movie starts

Alikuwa enzi ya kale kamzae bila akili @patco kakiwa high school.

DTOJ … malisa hao kabisa

I remember movie ya Jackie Chan ikiisha apo mwisho walikua wanaonyesha the stunts he used to do over and over b4 he gets it perfect.hakua anatambua stunt guys

Huyo sasa ndo alpha male wa ukweli … achana na hawa wa ktalk wamefuga ma singo madhas

Mimi drunken master hunibamba Sana wakati ule kipara hupigwa na nyundo Kwa upara.

Mimi ile ilinibamba Sana ni 'who am I" vile alitandika wale wajamaa wawili kwa balcony

Hehehe manze. Giza iko ndani ya hizo base. Wasee wanachoma fwaga na kuchana veve ndani. Wengine wananuka jasho/makende. Wengine wananyamba tu huko ndani. Then juu ya dirisha na milango kufungwa kulikuwa na joto kama ghaseer. Ukimaliza kuona movie ya jackie chan unatoka huko ukiwa na psyche ni kama unaweza pigana vile uliona kwa movie. Unafeel uko na nguvu na skills. Fun days back then

Drunken master is my best too. Kuna 2 parts.