jack katendwa na kunguru

jack alikua fisi na hakujua kutumia condom kama @Ka-Buda .Tukiwa third year uni alipea dem alice ball .He abandoned the girl afterwards dem akakua single mother.Dem alikua mrembo na msupa.She had a pretty face big boobs and fat ass a rare combination.After awachwe na jack nilimuomba coomer akanipa .Bado ilikuwa tamu 1 year after kuzaa.But mine was hit and run.Fast forward 2015 .Jack akaweka dem mwingine mimba now we were working class .Jack decided to marry this lady Mary.so during the wedding preparation he decided to give the job of baking the cake to his ex.Alice had learnt how to bake cakes and that was her hustle .But she was easy coomer show her little interest buy her kid sweets and take her out coomer unapata.Single mums mimi huwapenda sana hutusaidia kupata coomer rahisi.So jack gave alice the 10 k two weeks to the wedding she assured him that the cake was ready in 1 week.On the wedding day when he called her she said shes ready and she is on the way.Two hours later haonekani on calling her simu mteja.

Conclusion …never give a single mother, a cake baking contract.

Wacha kuedit story za telegram na kuzileta huku boss;

“So nikiwa form 3 kuna hii jamaa ilinipea mimba na ikahepa i didn’t give up, nilisoma na hiyo mimba thanks to the principal nikapata mtoto nikanyonyesha for 3weeks nikaachia mum nikarudi shule. Mimi huyo nikamaliza high school nikaingia campus nikamaliza nikapata job. Sasa story iko hapa last saturday baby daddy alikuwa anafanya harusi, so alisikia i bake cakes as a side hustle, akakuja kwa shop yangu akalipa for 5 cakes thats 10k. nikajua baaaaasss hii ni nyama imejileta kwa mdomo ya simba!!! Nikaamuwa nitacheza kama mimi. Sato ikafika asubuhi nikapigiwa simu nikasema cakes ziko ready. After that call nikazima simu na shop sato yooooooteee nikapeleka mtoto wangu out na hiyo 10k na nikamwambia “My daughter, enjoy your father’s money for the first and the last time” Sitaki kujuwa walikata ugali ama ni mkate walinunua!!!”

Here I’m totally on Kunguru’s side. That was a be itch-ass move on his part. Total Omega Male stuff.

Why did he want to rub it in? Ati “nilikupea mimba lakini hutoshi mboga, so pika keki na utulie.”

Hata huyo msichana no mzuri. Ingekua mimi Rat n Rat ingekua on a ratio of 1:1 na unga kwa hio keki.

Ungelala kamiti maisha

screenshot ama tuseme wewe ni meffi

The guy is an idiot

Once again huyo amejikamua mwenyewe. What is it that people don’t grasp about “ex” !

That’s a very stupid move. Ana bahati hakuwekewa spermicide/fisicide kwa keki

kuma kendez stealing stories on the net since 1820 ghassia takataka mafwi

The best hekaya in ktalk,tumepewa the two sides of the story but mendez ugejifanya wewe diye mdungamimba

In fact, huyo bibi I’m sure amewekea jamaa wanted.

“Ati who was to do the cake again? Your ex?”

mnajuanga aje ni single mum?
me i steer away from asking if the lady has kids / is single.
she might remember her family and refuse coomer

silly alizaa mtoto baba mtoto akahepa majama humtomba but no relationship

This one takes the cake. We need a new forum ‘Darwin saidia’ cc @admin. By the way vile mod mapoko/ mafeelings alichujua tutukane nani kwa hii page?