J.B Muturi: My Life Is In Danger

For spilling Kaongo’s beans

1 Like

That twat got what he deserves. He threw kijana waligrow na yeye uhunye chini ya maji. He thought Kenya Kwanza was paradise Saa hii ni kilio.

13 Likes

Lakini kunyang’anya a whole former AG and speaker of national assembly bodyguards ni noma sana

2 Likes

And abduct his son.

2 Likes

Atafute ile mutu ingine wajue vile watatuondolea mbwa koko kwa njia… inawambukiza watu magonjwa ya zinaa

1 Like

Kwani JB pia ni Old Money?

2 Likes

Wewe ni nis na hujawai jua?

Nope . You can’t be old money and going to Kangaru high school

Heri kukaa simple life bila bodyguards, ukimind own business, bila story mingi.

1 Like

Hiyo ni kionjo tu.

The best way to hurt a fool is to kidnap the one he loves most, force him/ her to eat raw snails for two weeks then release him/her unharmed to rejoin the family.

2 Likes

Ndio watafanyia jambas in '28. Sindio?

He should hire uwesmakende the soja. Salo ni packet ya sembe per week

True, hii thuraku ifinywe for all we care

1 Like

…and shave all their hair feom head to toe. Im talking mpaka futhi/ pubic hair.

Sick minds of abductors i tell yah.

RIP in advance.