Itumbi

That Itumbi appointment is a silent message to his online team not to expect much. It is like what happens on 27th December in the village when kichwa ya mbuzi, lungs, mítharigo and other peripheral parts are warmed and served, a clear indicator that the festivities are over… Na githeri inekelewa na sufuria kubwa.

You can even imagine the conversation that happened before his appointment “Namwamba ebu patia hao vijanaa makende nusu na oesophagus moja waondoke.”
[ATTACH=full]495287[/ATTACH]

Itumbi haitaji appointment, ako na access na president, kuliko wenzake.

Spear ame rushwa inje ama?

In every administration we have powerful people who do not necessarily have majob zina jina kubwa kubwa. Lakini wanajulikana.

Itumbi anapewa nyama imebaki kwa hyde…na masikio :smiley:

In Kikuyu that is a Mūhari wa Rūa or “scrapper of the hide”. Unaitiwa hide after party ndio at least kwako kunuke kanyama kidogo

Show me a gazette notice appointing Farouk kibet to any state appointment, but he’s closer to Ruto than anyone else, same case to Itumbi, Kositany,

majamaa hawaelewi. sttate appointment hulimit power ya mtu

Saa hii ndio ako na adi security na pension scheme, unlike the kuja apa, enda pale position

Amefanya