Itumbi, Kositany, Bishop Margaret Wanjiru, Milicent Omanga, Cate Waruguru, Adelina Mwau and Malala among those shortlisted for CAS positions

[ATTACH=full]496813[/ATTACH]

It is obvious that Itumbi, Wanjiru, Kositany will get this thing

Huyo Itumbi hakupewa kazi juzi? Kositany aache kujidharaulisha, kazi ya CAS haimfai,

Kositany, Kimani Ngujiri, mwaura, waruguru,Malala, omanga, Bishop wanjiru, Loiptip, itumbi, keter, Gumbo, outa, Kidero, Ongwae, Simon Mbugua

Hawa kuna venye naona ni 99%

It was some board appointment. He did a lot of work for KK he can get two jobs

already tunajua watu watapewa hizo viti , hizo ngombe zingine 200 kwa list pia zinajua sijui zili apply ya nini

Not so fast. Some ministries will have upto 5 CAS. Si unamjua Praying mantis

All the rejects now have jobs. Next time I’ll vie for something too

Nimeona my uncle pale. Chonjo saidi.

Itumbe hana degree and therefore is unqualified for the job.

Chukua job yake basi mbwa. Degree ni piece of papers

Manze but all of us can’t be appointed

Tugege kina @ChifuMbitika, @Circledot, @Motokubwa, @Finest wine etc wako kwa hio list?

Njia ya kutafuta pesa ni politics. Hata utemwe nje, huwezi kosa mahali pa kujishikilia.

Kijiji ilisema degree is a must.

Gani inamfaa?

I thought Kositany was appointed ambassador US?

Itumbi has finally arrived… :D:D:D

[ATTACH=full]496849[/ATTACH]

Uwache matusi,ati it is just a piece of paper

[ATTACH=full]496860[/ATTACH]

predetermined outcome , can see my name shortlisted but it’s not worth going