The fuel levy was introduced to cater for these road tolls.
Anafikiria huku ni japan they can implement BTC ticketing on every road in Kenya? Ama we will go back to toll stations kama ile iko hapo Gilgil? Akuwe serious.
But jana alikuwa na point ingine mzito pia. We are overepresented. Counties zinasumbua national government kuitisha pesa yenye haina. Alafu pia MCAs washenzi wanasema wanataka 700% increase in their salaries payable by the national government. Counties zimelemewa na kulipa mishahara and paying for contracts juu ya ufisadi.
education na healthcare zafaa ziwe privatised, nazo barabara zirudi kwa county governments.
national government kazi yake iwe kupeana standards vile vitu zinafaa kufanywa, then private sector na counties zifuate izo standards.
buana education and healthcare should never be privatized thats one way of making the citizens remain poor and ignorant you pay taxes then find private solutions for public problems hii reasoning ya privatization of some sectors should never be allowed
you pay taxes and still pay for education and healthcare, kwanza mnalipia pesa mingi zaidi kuliko zenye mngelipia kwa private sector.
Chief, what guarantee do we have kulipa hii road tolls when tayari tunalipa road maintenance levy itasaidia? We pay Railway Development Levy na inaletanga karibu ksh 60bn a year yet we still had to take SGR loan. Izo road tolls zitaenda tu kulipa salaries and we all know it. Salaries za ma Mps kwanza.
Hawa watoto wa malaya wamedinywa akili.
The fact that they are mulling about introducing tolls means other ways of raising revenue imewapiga stick.
They increased bei ya mafuta hoping to get tax saa hii gari zinashinda zimelala kwa estates so gava ata ile kidogo walikuwa wanapata sasa hawapati.
Kwa akili za hizi mbwa wanaona tolls zikiwapea doh forgetting they are dealing with Kenyans. Watu ni magari watauza.
mtu hafai kulipa pesa ndio aruhusiwe kutoka sehemu moja ya kenya kuenda mahali ingine, io ni kukandamiza freedom za wakenya.
barabara zote zenye already ziko zishalipiwa na wakenya.
If they’re corrupt they should be corrupt without interference.
Serikali ikona haraka ya kupata doo badala ya kuweka mikakati ya vile wananchi watapata doo na wao wapate tax. Wakona short term goals.. waibe mkwanja wajiondoe. Kesi baadaye.
Hawana long-term goals na kenya. Ni wai wache ikiwa mbaya than vile waliipata. Watu bure sana. Wana deal na wakenya na kenya nkama vile msee hu deal na malaya. Pump and dump.
Acha wasee wa ocha tungoje hizo red CX 5 za mabibi zenyu
Tugege waendelee kushaftiwa chuma moto Kwa mkia