ITS hOLIDAY Time Again..

Watu wa ushago i hope tuko tayari coz watu wa Tao are just about to start streaming in, commanding us the villagers with “car hire” vehicles waaanze kupoint kuku za kuchinja na vifunguo za gari wakiuliza kama kuna ATM kwa kijiji? mko na western union huku? Nataka kutuma pesa india mko na microwave ya kuwarm yoghurt mnatumiaga internet gani huku?
Choo ya ndani iko wapi
Woiye, sasa hii ni mbuzi ama mbwa??
#I_love_December walai
Alafu hawa sister in laws wetu wenye wanaletanga watoto ushago mnatusumbua,calling after every 5minutes
Watoto wamekula,waangalie vizuri wasigongwe na mbuzi,wasiingie choo ya shimo,wanacheza nini sai,wamesema nini,wamekunywa supu,wamewekewa sukari,chunga wasimeze miti ya jembe,at night mnacall mum kumwambia akawafunikie
Eeeeeeeeeish their dad survived in that environment na hakuwai kufa,ama muwakujie !!

15 Likes

NV ulikuwaje elder ?

8 Likes

acha kujaza server na umeffi nkt! !!

2 Likes

Wacha nikupatie like ya kwanza through i call into question the provenance of your post. Congrats on your first thread

i wanted to ignore but again ni umeffi hii yote umeandika

ulisema wewe ni shemale ama ?

1 Like

unataka shemale nkutaftie?

Who the ferk warms yoghurt in a microwave?!

1 Like

Wasimeze miti ya jembe…:D:D

3 Likes

@uweschieth Papa…
Nakuambia kijiji kiko under sieke…

By the time January itafika kutakua kwanuka fipaya saaidiiii

1 Like

hapa na wazee polepole

https://www.youtube.com/watch?v=EqnvUKFZueA

2 Likes

https://www.youtube.com/watch?v=d-lntMv4OtQ

1 Like

https://www.youtube.com/watch?v=TC1WWTIQqjE

1 Like

Hii maneno haitokei Central, maybe huko kwa babuon and his fans

1 Like

Acknowledge your source.

1 Like