its friday again....

leo ndio ile siku…Reggae+nyama choma+miti+mzinga +lanye=starehe…
i put aside 5k kila friday za kujinice na kutoa vumbi ya wiki …yes only 5 k na sio zaidi ya hapo.so leo naskia kubuy kakitu to the peasants.tupatane tribeka 8pm.{lakini usikuje na lanye imeiva kuliko yangu nitakunyanganya kakishika}i will add 10k on my budget nifurahishe peasants kadhaa.
blessed is the hand that giveth than the one that taketh.sharing is caring.

And blessed is the right hand that giveth and does not allow left hand to know it has given…

Naona hiyo Matatu business ikianguka ukiendelea hivi.
Mimi ni Mzee siweszi kunywa Tribeka, rusha kitu kwa Mpesa nikunywe Gilbeys.

wah…mummie hio ni kali

mdosi tulia ifike ile masaa nione bl ya mpesa.lakini pesa ya matatu singuzi kamwe.niombeeni inawiri madze.so far so good

Niko na number ya Bar Man wangu unatuma nitaipata jioni.

Nina kiu bro, nije???, bora usianze kunusa kibeberu uniabishe hata ukiwa the hand that giveth

@culture Mimi kama peasant siwes fika bei ya tribeka rusha kakitu nimese jug Daniels na naps

hahaha.iwe

acha nione bl ya mpesa nitagawa watu wangapi

Bro io 5k itatosha kweli tribeca? Ama wewe ni mtu wa brown bottles? Hapa kama ni whiskey itabidi umetop up

brown bottles msee.