Its about to go down...

Madame wenu wanapigwa miti na masponyo

[ATTACH=full]448997[/ATTACH]

Tingiza mti
Tingiza mti

Baba yangu akaonekana kwa ujinga kama huu namgukuza kwa boma hata kama ni kwake. Lakini alishakufa so hawezi.

@ChifuMbitika amesama ata paka Mzee hukunywa maziwa.

Vitu kaa hizi nyi hutoa wapi?:D:D:D

elder anamumunya mboga kienyeji

The moral of the clip is?

usikuwe sponyo mjinga. Internet never forgets

May be this is fore play uko shags:D

Omg

Kuwa sponyo already ni foolish

Acha kienyeji alipiwe fees

:D:D:D…sponyo anafanyishwa nini hii

Mwanaume ni pesa

But naona wako sawa…anyone else who has noticed wanafanana? Hao ni watu wamekulana for long …hata hiyo kudance ni kuzoeana sana[ATTACH=full]449296[/ATTACH]

The girl looks 21 while the man looks 55. Mimi naona wako sawa tu

Pigwa jeki, meffi!!