Tulieni hivyo tu pesa yetu irudi
Pesa gani kaka mikymas, zile za baba 6K hazijawahi ingia kwanza
1 Like
Nikama umenyonga na mbisha ya nabii
Nilikuwa nimeeka bisha ya mwanasiasa fulani alafu nikaona twirrer anasema hii ni police case ati ata shikisha watu. Ngori
1 Like