[MEDIA=facebook]1874582456093378/posts/3306613266223616[/MEDIA]
La familia
cosa nostra
I know he stands no chance, lakini wakenya tukona michezo
What does the constitution say? Is he a Kenyan by birth?
Bootlicker najua siku ya election utaenda Kilifi kumpigia kura. Anything for Massa.
Massa your nyanye kubaff
It’s not my fault you hate yourself.
Wacha watu wa Kilifi waamue.
Mturandom wakati hujanunuliwa ma Pili unasumbua saana
bora si msomali na mwarabu am okay with mbeberu apige job
maliza hio self hating brukhengeh
:D:D:D:D:D:D:D:D
Kenya tuko na jobless peeps kupindukia. Story za equal opportunity employment apeleke kwao 1st world. Hafai kua ata kwa ballot. Wapatie ata sonko hio kiti.
He still has the heavy Sicilian accent…
After hii tackle lazima the pilsner boy ameenda kulala
Swahili and the larger coastal peoples utastuka wamempea kura there’s a reason the Arab slave traders and the portugese loved them
He must have made Chebukati a deal he couldnt refuse
Hata Nyanza Kuna Indian-Shakeel shabbir, Somali- Junet.
Eldy & Meru kuna Indian Mps na wanafanya kazi bora kuzidi hawa selfish local thiefs wetu.
Wacha achaguliwe kama ana integrity accountability na transparency.