Itabidi wakenya wa up their game

Went to visit an old friend in East London. Time ran out na singeweza enda kwa kinyozi wangu wa kawaida so he shows me his Barber shop. Nikiwa kwa line I came to learn that the barbers are from Rwanda…hawa watu service yao iko juu tu sana…

Kwanza ukiingia kinyozi kuna dispenser ya keringet water & it’s free. Most vinyozis in Kenya unaweza kufa na kiu.

The ambience is also good. Kuna air conditioner. There are 8 barbers each with his own spot. Hapo mbele for every two barber spots kuna LCD TV ya Fuji…btw for the young ones Fuji was a big company in the 80s and 90s. Hapo ndio nimeona game ya Kariobangi sharks na Everton. Hao players wa sharks walinibamba sana the way they celebrate after scoring a penalty.

Anyway, kinyozi mwenyewe nayeye anajua kazi. Hana mbio na wewe. Machine ni Philips. Akishamaliza job you’re ushered into another section uoshwe kichwa.

There you meet lovely ladies. Kichwa inaoshwa thorougly na shampoo. Then unapanguzwa na very clean hot towel. Btw they have a washing machine to clean the towels.

After hapo ni thorough massage. Kichwa, shingo, mabega, mgongo, thorax, spinal cord etc. Unakandwa kandwa unaskia yes. Akimaaliza Uso nayo inapigwa sand paper na St. Ives.

Then upakwa spirit. Bump control na after shave. …yani ukitoka hapo you can go straight to your errands. Not a speck of hair.

All that for only 500 bob. So apparently most vinyozis in the shopping centre are now owned by Rwandese. Vinyozi wakenya wasipochunga watakuwa wanajinyoa.

Ukuona kabuda Hapo Middlesex.

Mia tanoo !! Heh!!
Hapa kwa jemo kwa kibanda ni 50.
Mia tano ni ya mwaka mzima.
Massage tutaachia sista jemo kwa mancave
Hapo uliumwa
[ATTACH=full]246950[/ATTACH]

Ungepatia huyo rwandese 2000/- upate extras.

tulikuwa pampered enough tukiwa watoi, Ni kunyolewa na finje Kama unaenda

:D:D:D

I am disappointed. There is not a mention of happy endings. Inakaa the faif hundred experience imekuimpress sana…

Ile kinyonzi mi huenda i get A1 service for only 250 bob.

Bibi hunipea happy endings ya kutosha.

Hapa Kasarani nyingi ni za wa Rwanda na by 2022 wakenya watafurushwa kwa hiyo bizna

Hapo ukienda na mjuniour . Usiku unaskia mummy kuna msichana alikua anashikashika daddy kichwa na mgongo.

Donholm, Umoja, Kayole and other surrounding areas wamejaa. They sell coffee and KDF too. Kwanza ni wengi sana hizo sides, they even have their own churches. But si watu wabaya, they work hard for their money.

Ni warembo kama wale wa instagram?

Yeah, lakini they are more reserved than the aggressive Kenyan women.

= wonderful news

Sijaona Hawa ma rwandese live live btw, on IG I see the ladies are pretty tall for a lady, Hawa wenye wako Kenya wanatoshana aje?

Most Kenyan chicks wako 5’2 to 5’8

jaguar atawatetea

Beta male detected

Niliattend arusi ya mwingine church yao tuu

Probably Major Donk the gaza guy, Babu Owino na slay kwin Theuri. Juu wako constituencies zao.