It was actually a stone not a shoe that was hurled at President Ruto. The shoe is innocent

https://x.com/rita_oyier/status/1919233316525416853?s=46

Huyo wa kiatu alikuwa anablock watu wa nyuma wasione vizuri. Then mtu wa nyuma akaamua kugonga hio kiatu na mawe. Mawe ikapita na kiatu hadi kwa kichwa ya president direct almost assasinating him

4 Likes

I agree with your argument

1 Like

Sijaona mawe ni mkono imegonga hiyo kiatu kama volleyball

5 Likes

We want violence!!!
Next…

https://x.com/citizentvkenya/status/1919295562660098502

1 Like

Actually it is not a stone. It is a hand. I agree

2 Likes

Lakini bado watu watafinywa

1 Like

Ata museme nini… Umbwa ilikula kiatu

1 Like

The path we are taking is more dangerous , God help us as a country . Afadhali muache hawa watu wakule na waende in peace kuliko plunging the country into chaos kama zenye ziko Sudan and other shit holes

2 Likes

Kasongo must go by all means