It starts with YOU and ME

Huwa mnasema matatu crew
hawajasoma but wakisema “wa haraka hapa tukisonga…”
you with your degrees sheepishly enters to become the 5th person on a seat designed for 3. Its starts with the passengers

4 Likes

Umewai kunywa ile pombe inaitwa Southern comfort?

1 Like

Kabisa… Thats my party brand… Pamoja na Famous grouse. Try them and you’ll never miss a moment

Wacha nikunywe kunywe Konyagi na chrome herbal hadi nipate pesa

5 Likes

The onus is on you to alight from any vehicle that you’re uncomfortable Travelling in. Hii mambo ya kusema una haraka haisaidii.

I will gladly spend a night stranded huko njiani with my luggage, rather than a cold morgue freezer.

Sasa hii inasaije?

Haha shit happened. I thought nimeweka sleep mode nikatap rep… But real niggas dont correct mistakes

Huyu anafaa moon walking

Sasa were unasaidiaje pia ukiuliza hii swali ya umeffi?

Ngee thrend