It Officially Days Of Noah Season 2, Episode 01. Maji Yako Level Ya Dirisha

Mtamea akili

1 Like

Si our all knowing and very wise President alisema hakuna el nino

1 Like

uku ni wapi?

Noma sana…btw nimepitia Mombasa road this morning, imagine after being recarpated like 2 months ago, iko na potholes already, hio area around vision plaza inbound coming towards southern bypass

Wadau … kwani uku ni wapi huwa mnaishi banae …

1 Like

Kizee chunga sana, utapata umepigwa fine ya ksh 2 million na hizi weather forecast unapatiana.

Nimesikia ni Mombasani

In that case; " Duh … kumamake aisee".

1 Like

Hama huko ukuje tuishi hapa kwa White Highlands tukiwa na akina Wanaruona