Msihadaike wa Tanzania, hii issue ya makintena imewekwa kututoa kwenye focus ya vitu vya msingi.
Ule uchaguzi wa Buyungu tumepigwa changa la macho. Sasa hivi tumeacha kufikiria uchaguzi wa marudio Ukonga na Monduli tumebaki tuna mpromote zero brain Bashite tukija kushtuka CCM wameshinda kwa 100%.
I concur with you. Na tatizo tulilonalo ni kutojua au kutojaribu kupima future impact kwenye nchi yetu itakayosababishwa na maamuzi yasiyo sahihi yanayofanywa leo.
Inaweza ikawa ni hadaa ili yasipigwe mnada na waondoke na chao, Jiwe anajua viti vilivyomo ni vya Hotel, malls jambo ambalo na yeye anaweza akawa yupo karibu na hizo ishu.
Nasikia alifungua jengo la Nyerere Plaza kule mwanza maeneo ya Nyerere Road kimya kimya.
Hilo jengo ni lao na hizi samani ndio zinaenda huko
Mkuu wa kikosi cha mauaji nchini kilichosimamia mauaji ya Ben Saanane, Watanzania chungu nzima ambao miili yao iliikotwa ufukweni mwa bahari, na jaribio kubwa la kutaka kumuua Lissu, mbeba mazabe ya fisadi na mwizi ya trillions KAMWE hawezi kutumbuliwa. Anajua maovu mengi sana ya Dikteta na dikteta hawezi kufanya makosa ya kumtema Bashite.