Israel Adesanya kaokotwa na Beckie

Yaani huko New Zealand wadem hukuwekea calendar ndio wakujie nusu ya mali yako?

https://www.youtube.com/watch?v=JiqCxpTdMpY

Ukiomoka tu hivi…haidhuru

Skia hii ukora

Charlotte believes she has a stake in Adesanya’s wealth after supporting his career
Adesanya is said to have dated Charlotte for a while

Dem wazungu ni moto ya kuotea mbali.

But njaruos like @Swansea wanajiona werevu sana. Juzi hio nugu @Swansea imeoa mumathe mlami.

Ndio hii picha ya harusi

https://sarahscoop.com/wp-content/uploads/2021/01/michael_angela_90dayfiance.png

@patco hizi ndio channel unawach na bibi Sunday usiku.

Adesanya is team Maga. Anapenda wazungu.
Yeye na Tiger woods wanapelekwa korti na dame wazungu, saa huu. He is also a defender of Joe Rohan, a white racist. Let his white skin defend him.

hakimi.gif

ia.png

Waliambiwo na ule mkisii wa huku yuess, hizi ndio nyeuthi huangukia huko anajiona ako mbele sana

Lemme get this clear. Joe Rogan is a racist because?? He dropped the n word?? The nigga word??

Each day I grow older, I see the wisdom of di caprio. A lot of these crazy stories I hear, naona this can’t happen to di caprio.
Like this, di caprio wouldn’t date a woman for long enough apate hio audacity. Angemumunya alafu amuache at 24 kama ameendea fresh meat

Men need redpill awareness. Izzy hanikalianga fala, lazima atapiga mdem chenga

Labda only good news ni hakuoa huyu kunguru angekuwa pabaya zaidi

Inakaa huko majuu kuoa ni kujitia kitanzi pole pole…

Huko New Zealand wako na this effed up new laws about de facto relationships. Mtu akikaa na ngeus 3+ years, they are entitled to half your shit mkikosana. Ulipiane rent, medical, her expenses, mkaanishe pamoja…mali naenda yote

Kunguru ilingoja aregain title ndiyo aendee mali:D:D

Hwueh. Embobut crew number itaendelea kuongezeka worldwide

Oya @Yuletapeli hii ni your group of schools’? Naona imeenda international :D:D:D

Was she his sparring partner? huu ni ukoloni, but pia hapo kwa support inaweza kam na njia mingi, alimpatia peace na sahi she want to destroy Izzy, juu izzy akiwa na stress concentration itaenda chini na UFC sio kama football unaeza uma bench. Wajadiliane tu

Noma sana, kila mtu siku hizi anaivuta kamba kwake akule

Nafungua carnisa mambo ikiendelea ivi. Lazima kujipanga raundi hii. Na sijawahi kuona hii mtaa ya OSHA mecho na bei ni 1.2$ ama kupotea ndio kujua njia?:D:D:D