Is this Ruto's son NICK, hii familia na ukora?

3 Likes

Mitoto ya nyoka ni nyoka.

2 Likes

Wapeleke evidence Kwa DCI. Bribe giver and taker kwanza wawekwe ndani

4 Likes

Get real …
Is there any Policeman with guts enough to arrest any member of the First or Second Hustler Shareholder Conmen Families … ???

The Apple never falls far from the Tree … :rage:

3 Likes

Hehe I suppose none would dare.

2 Likes

Good thing is just like uhunye , they will one day have to give power to another clown , hapo Dio wasee huyo shoga alicon watamchangaMKIA like nonsense, hope within the last year of sakayo’s era they will have moven to Manhattan to rot their eating Fenty

Hata mimi ningekuwa kijana ya jambas ninge nyosha boot lickers mbaya mbofu.

1 Like

Ndio alinunua Lexus SUV na hakuna job yeye hufanya tunajua hata hatujui kama ako na law firm ama ameandikwa kazi kwa law firm. Angepelekwa Police juu inakaa ako na hio talent ya hongo. Atleast drug cartel bosses wana akili kumshinda juu unapata wako na factories, warehouses, banks, hotels etc za kusafisha pesa hawa watoi labda ni kukunywa na kudinyana tu.