[MEDIA=facebook]id=1777675238959395;type=video;user=robertalai[/MEDIA]
Kweli. Lakini polepole huyu anapitwa na wakati. Wengi wamelelewa town na wazazi wenyewe wako na mijengo jijini. Sasa hivi unapata mtoto ndiye anang’ang’ana kurudi mashambani kuendeleza kilimo, lakini majengo anajenga jijini kama vile wazazi wake. There is no need of building a Ksh20m bungalow in the village when you can invest better putting up rentals in built up areas.