IS this Ma3 a Den of thieves?

[ATTACH=full]308294[/ATTACH][ATTACH=full]308294[/ATTACH]

Always avoid those trendy mats they are full of thugs

mbogi lazima idishi bana…kaeni kuelewa

Ile time mimi hupanda matatu lazima ikuwe ile haina ngoma na dere ni mzae fulani flanked by a kisii makanga.

Mimi Kama sijaenda Waks na X6 napanda Embassava old school Si hizi vitu za kelele

nairobiwest,madah na highrise…ata mimi hizo route kama hakuna mkisi either dereva/makanga…naskianga kuna kitu amiss

it’s time we upgraded our mass transit systems. Hizi mathree hubore mbaya

Na inaimba ki kisii

Gari za Kayole hapana

Kwanza kuna zile zilikuwa zikiitwa pin point nishaipanda siku moja nikitoka Kayole saa hio nimevaa Timberland nacheki msee akizicheki akidai ‘bro hiyo kiatu si imeweza hebu toa nniikiche’. Safari ya Kyaole to town haijai kuwa ndefu kama hiyo.