Is this judge the future of Kenya Judiciary or just another activist per se

https://twitter.com/Konesjk/status/1772189087799087427?s=19

The repurcussion is great. This ruling ubaya kuenforce ndio itakua ngumu, imagine kuenda na court bailiff kuenforce auction kwa Kindiki

2 Likes

Sifuna alijua kitambo hatakikani kwa judiciary, na atatumia ile muda kidogo imebaki kufanya chenye anataka, kabla afurushwe.

2 Likes

Unangoja saa zile makarao wako roadblock na wote wako busy flagging down the next 50bob. Unaingia kwa GK na unaenda nayo.

Anywho, if you walk into any government office, probability is high that there are vehicles that are lying idle and haven’t been in use for years. Zoke zikiwekwa kwa mnanda, then they can settle all debts and then some

1 Like

Good judgement. Suppliers watalipwa after supplying tenders

1 Like

Ali kosea wapi? Mbona hawamtaki.