Na hiyo sayona haifiki 2022
Io inaweza kaa… Vile mathee sasa amebariki gichana yake akiwa amefurahia… Ingekuwa jamaa amejinunulia aweke kwake ndio haiwezi fika 2022… I dont know whether this makes any sence
Afadhali angenunulia mathe dairy goat
Hii sio CRT TV mzito
Hizo woofer ziondoe karibu na tv zipe kama 50cm ama utapata tv baada ya mda inatoa laini ama pixels zinapixelate.
you need a male RCA to male RCA cable and RCA female to female connectors.[ATTACH=full]338913[/ATTACH][ATTACH=full]338914[/ATTACH]
Veery
Aaah this looks like what i need…thank you
Mbona?
:D:D
Happiest day to my mom is the day I gave her a flat screen smart tv to replace the box. My siblings still wonder why they never thought of it
How old are you?