Is paying rent something to brag about. Mimi ata ulipe rent ya 1 million na mtu akae kwake kwa mabati, i tend to respect mwenye anakaa kwake

2 Likes

Huyu anakunia floater Kwa nyumba ya 55k

1 Like

Ahsante sana!
Ahsante sana!!

Mtu analipa rent hata ya pesa ngapi hafai kujivunia, hio ni liability.

Sahi msee anaweza flex nikubali ni msee anaishi OFF GRID, na ana produce their own food. Ati kama ni doo pia hatafuti kwa wingi. Ati akipata 30k ako sawa saidi na hio ni ya luxury items, maybe fuel ya kuingia shughuli kadhaa. Hapa sijataja starehe za ku travel abroad nimeona elders mki type.. zi si hio. Msee tu anajitegemea and need less mbirrions, mahali rancher kama @Maize_Combuster amefikia.

4 Likes

Ukiangalia 1 bedroom properties that rent for 50K and above, there is zero difference between them na za 12k. Except being cheaply furnished na ziko Kilimani.

4 Likes

Ahsante sana! Nangoja @gaines alete report mzima ya gated community akidai kuna security na watu wanaongea kizungu.

1 Like

Ukirent tao lakini shags umejenga uko sawa.

5 Likes

Shags!!!

Kumaanisha kukiharibika utarudi ocha! Then if that is the case then una waste energies na resources ukiwa jiji kuu kama ocha unaeza grow elder.

3 Likes

Yuletapeli.. Nyinyi hucheza sana.. Ocha hakuna cash flow vile nyinyi hudhani. Unless zile ocha zinakaa tao. At times, I go to ocha naona zile vibarua watu wanafanya na 400 bob nachoka. Alafu ocha mob ukieka biz ikupe atleast 2K profit per day si rahisi. When it comes to ocha, inadepend ni wapi

7 Likes

Unajua kuna msee akona hata 10 acres ocha na ni place anaweza fanya kitu ya maana but ana prefer kuwa soja Nairobi, ama mutu ya boda. Sasa mutu kama huyo ndio tunaongelea.

3 Likes

10 acres kule kwetu murima unapata wapi bana?

1 Like

Huko hakuna kabisa, labda ushike mizitu zinauzwa sahi acre 300k unapewa certificate.

Kamene was born rich and 55k ain’t a hustle for her. This is the same woman who was paid over 500k a month, for a job she works from 6am-10am, Monday to Friday then she has the audacity of skipping some days without notifying her boss, because dad has money and if she is fired, she can still maintain her lifestyle because of her father’s wealth. You can’t compare her and your lifestyle if you didn’t come from money. Maybe her rock bottom might be your peak. Am just saying

4 Likes

Then let her go and depend on the generational wealth instead of shaking buttocks in clubs in the name of club hositng. She is 33

2 Likes

All her photos look the same.

She has 1 pose for her lips, and 2 poses for her hips.

2 Likes

Kuwaste resources aje? Sio lazima uinvest every last coin of yours. Sazingine unainvest na inakunywa maji. Lazima mtu mwenye akili akuwe na penye anaweza weka kichwa akienda home. Sio kuenda ocha na fsmilia alafu unalala kwa wenyewe.

2 Likes

My point is very simple.. kama msee anaweza kimbilia ocha kukiharibika si then ni better ku focus on ocha

3 Likes

Ukienda ocha kwenu sahizi na vijana wako na bibi, huwa mnalala kwa nani? Na utashinda ukilala huko hata ukiwa in your 60s?

1 Like

Is like comparing a Toyota Fielder to a Mercedes C300.

1 Like

If I were a broke guy like most elders here, my strategy would be a tiny apartment in Kilimani/lavington, a maisonette in Nairobi outskirts, and 2 acres with a 3 bedroom house ushago.

Apartment ni ya ukifanya biz Nairobi kufike usiku you can just sleep there na pia your college going kids can use it wakifika campus na kuanza life.

Maisonette apo Syokimau you’re only 15 minutes from town via SGR so the family is sorted.

Ushago of course you have a house that you sleep in alongside your two acres that you plant maize, beans, potatoes and other things that you occasionally send to your house in Nairobi bills zipungue.

If you can do this, wewe uko sawa sasa you can relax. Mambo kubwa kubwa achia watu wengine.

3 Likes

Kama hizi ndio c300 acha nipande matatu :joy:




6 Likes