Is living in the bush a crime

1 Like

Mbma aruhusiwe kuishi kama nyani?

Ukimpeleka mathare hospital unapewa thao

Mbona wasimpe nyumba

It isnt a crime so long as villagers know, nani anaishi hapo.

1 Like

Bangi sio sukuma

Khai!!! Ameamua kuwa chimpanzee.

@TrumanCapote should not see the above

1 Like

Ataki stress, ni simple life

1 Like

…surviving in a forest is complicated.

1 Like

Ahame kama huo msitu ni shamba la umma. Wale washenzi wa Ndabibi- Naivasha walianza kimzaha mzaha hivi. Kwa sasa wanadai shamba ni lao.

3 Likes

But yeye si mwenyeji, ametoka wapi? He’s a security risk, akirape mtu mtasemaje na ata hamujui kwenye ametoka.

2 Likes