Is it only me....?

Wadau hapa 237 fiashara iko chini hadi siku izi nauza malimali hapa vumbistan.
Niliwauliza kama unaeza kuwa ukidai izi services,you DM.
I supply and install:
*screen tint films
*wallpapers
*cushion vinyl floors
*laminate floors
*gypsum ceilings
*painting
*partitions
*window blinds
*Roller blinds
Cost for supply and installation is negotiable.

10 Likes

Bro market yourself aggressively in social media Kwanza sponsored posts etc. Huku most people might want the service but may not be willing to blow their anonymous cover.

5 Likes

Hata Mimi siezi blow cover ovyo ovyo but inbox haina shida kuwasiliana. huko kwote nko.

1 Like

Talkers meet more often than you think!

13 Likes

nitakutafuta later on the year for gypsum ceilings na wallpapers,

2 Likes

I would like to know how many talkers have met in real life. Must have been awkward considering how people throw upper cuts at each other up in here.

8 Likes

Huyo later ni lini na ninaona mwaka iko corner? si tuunde b4 Xmas!

Mimi najulikana zaidi. Siwezi jificha.

3 Likes

si ulikataa kutuwekea picha

I have met several talkers here and let’s just say wamenisaidia sana

1 Like

Will talk to you on wallpaper soon. If your prices are competitive, why not?

Pia mimi nimepatana na kama wanne hivi

1 Like

Have met over 3 dozen talkers including baba Clichy

3 Likes

Mkikutana hata ktalk haikuwagi kwa agenda though huwa awkward at first!

2 Likes

Talkers can be very helpful kama mimi @Afro alinitengenezea receipts books fiti sana… na bado @Electronics4u namtafta early nxt year coz nataka kuupgrade from my 32 inch tv to kedo 55" hapo… hata kwake kunuke kitunguu… ama namna gani my fren?

2 Likes

True

I’ve met 4,ni vile @Susskid ako mbali,calendar zake ikabidi tuzitume as a parcel. Otherwise i’d have had a chance to meet a 5th one. Naona one day haka kaofisi kangu katakuja kua meeting point ya ktalkers.

3 Likes

picha gani mblo?

Hapo hatuezi kosa kusikizana. Bora tu utafika bei

Very Legitimate point hio kublow cover ni muhimu

Hio ni ofisi ya nini?