is it obsolete ama bado iko

Back in days mid 90’s to early 00’s, whenever we picked up girls in clubs or bars, and had to get rooms
The norm was to push the bed against the door, that way either of us wouldn’t leave the room without waking up the other.
That way, we never worried about our valuables disappearing.
In this age of mchele, that will be a good measure.

16 Likes

Ukiekewa mchele sidhani utaskia akivruta kitanda. I think anaweza hata kukuiba pia aende na wewe bila we kuskia.

9 Likes

SABINA JOY BEFORE REFURBISHMENT TULIKUWA TUNA SKUMA KITANDA IBLOCK MLANGO UKIKULA MALAYA

That what we used to do.

Kwani ni nini ilibadilika after refurbishment? Walitoa vitanda? Ama wakaziscrew kwa floor? Ama walitoa milango? Nichanue ndio nikienda huko nisikae kuku ya ocha.

8 Likes

A friend brought a hoe takeaway kwa nyumba akafunga mlango na kuweka key kwa bucket ya unga he was high asubuhi hakukumbuka mahali aliweka he called me in the morning kumsaidia kuvunja paddlock

13 Likes

Mimi nlikua na toa key ya main door kwa bunch alafu naficha. mara kwa jackets, shoes, mara ndani ya unga etc. One day nimeficha nikiwa maji then the following morning I couldn’t remember nimeficha wapi, niliget after an hour or so. :D:D

3 Likes

I know mchele is in a different league, lakini think about the hustle she will undergo.

2 Likes

WALIWEKA LOCK KWA MILANGO CHIEF , KITAMBO HAIKUWA NA LOCKS

2 Likes

siku hizi mchotaji ama mchotwa akitoka kabla ya mwenzake kwenye gesti ,watchie lazma acconfirm huyo mwingine ako hai kama amewachwa kwa room.so atakam na aknock mlango ama aitane then akiskia sauti anauliza kama ni poa aishie

6 Likes

In fact anaweza wekewa ka pishori kabla watoke kwa club so wakitoka atakuwa auto pilot

1 Like

very true.ulikua ukikaa sana uyo watchie anaanza kubang mlango

1 Like

hii hustle yote?..si tupunguze kunyafra Malaya…

[ATTACH=full]28350[/ATTACH]

36 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

1 Like

hehehe…
obsolete thinking.
mchele is the absolute drug haina dawa

Bio metric locks??

1 Like

:D:D:D:D:D:D:D:D

NANI ANAKUBALIANA NA MIMI ATI @Dodi ANANILEMEA SANA SIKU HIZI

6 Likes

:D:D:D