I have the mother of hangovers!
How are you fairing village ninjas?
That one that makes you feel like you have a combination of Zika virus, Ebola, Marasmus and Kwashiokor all mixed up together ??
pombe sio supu kiyana!!!
At work feeling like superman vs kryptonite.
Na silii
Enda toa lock…
Wacha fobe kiyaana !
Nimeblanda nikakula nduma…
Hehehehee…halafu? After kukula nduma? What has happened?
I do not why but hiyo blunder yako seems hilarious. Nimecheka yangu yote. Thanks for making my morning.
Mimi nimeanza weekend though hakuna stima
stima ya nini na kuna pombe?
tumbo inapiga story, manung’uniko ajabu.
Wewe itabidi umefanya zero grazing karibu kwa washroom. Hakuna kitu mbaya kama kuharisha…
Kama unasema hivyo hujawai kua na gas hadi unadhani msee ako next anaskia tumbo ikiguruma. Ni kama umemeza generator
Mostly itakupata kama unaenda first date. Tumbo ina nguruma date atadhani uko vibration mode. Ma aibu tu. Tafuta dawa inaitwa gaviscon. :D:D:D:D
Cheers. I am off to find it.
^^^^^nyinyi watatu ,mmenifanya nicheke yangu yote :D:D:D:D:D:D:D