Is it just my hood or is it the norm around?

There are personal motis which are allover selling foodstufs from their boots…fruits,veggies,mayai,…ama ni diversification after jobs cuts?But this is commendable…at least the supply iko juu kuliko demand so no exploitative prices…The problem ni ati hii ni niche ya mama mboga na wanaingililia biashara ya ule matha wa kawaida wa grocery…kwanza wanakuja na ubaya sana juu hapo juu wameeka number ya simu ati “call for delivery”…its not fair to …so mimi nimeamua nitaendelea tu kubuy kwa wale wamatha wa vibanda

Nuisance sasa nakutana nayo ni hawa madem/wamatha middle age sai ndio wamegundua kuna kitu iinaitwa tizi/jogging…aki zile ma mitchellin tyres tunaona kwa mtaa wacha tu…But what puzzles me the most is how in a 3 hours exercise session,photos and selfies consume 2hours and 45 minutes…

[SIZE=2]Pia leo niko off[/SIZE]

Pale northern bypass kuna soko huru mbili.

Wacha watu wanukishe kitunguu

Kuja Ruaka utawapata. From Quickmart all the way mpaka Decimo. Lots of guys have lost jobs and selling fruits and vegetables is a quick way to keep their heads above the water. June and July will be even more terrible.

jana I used Ndumboini route towards Gitaru nikapata a lady selling very fresh vegetables kwa pick up pale kanyariri…mbele kidogo nikapata wengine wawili…I bought very fresh mboga and fruits

Ziko kila mahali. I think hao ni watu walikuwa na ready supplies kwa mahoteli na mashule. Si zimefungwa? They still have the product. What to do?

Mama mboga wangu alikua na upper hand since she was the only one in a space of a km.sq so you can guess the exorbitant prices. Ngwetez broiler nilikua na buy 500-600 kwa super ama dist. Saa hii kuna boy ananiletea hadi kwa gate at 350 for humoungous bird. Cabbo kanauzwa 80 na kuna za 40 kubwa kubwa kwa pick up. Hii time ya kolona ni kusave kila kona. Mama mboga anafaa kuadapt

Someone once asked here what to do with I dunno what model of moti, nika mpea advise ya hiyo biashara. Nilimpea ju najua inabakisha poa sana. But prolly hakuifikiria past the thread. A bizna that gives you 2500-3000 a day kama umetoa expenses zako na ukakula (watu was soko hukula!) sio mbaya if you’re not a ktalk billionaire.

Mimi baridi ya ngware na mgongo kunileta juu ya kusimama ndio ilinitoa soko. Sold my mkebe of a Carib na nikaingia biz tofauti. Saa hii maybe una notice wengine wengi juu wenye walikua wanapeleka Mali kwa ma hoteli na mashule hawana pa kupeleka. Inabidi wagawane nyasi na mama mboga. But as we say in Gikuyu, “Cítíre cía ninaníra nyeki”. Ngombe hazimaliziani nyasi. With the current situation, lazima tusongeane.

Haujui dawa ya mgongo? :D:D

:D:DHiyo haisaidii.
Years of kuinama na kubeba watoi wa wenyewe:( Alafu kuna place nilikua nabeba maji mtungi kumi daily kutoka ground hadi third floor. Flat haikua na pump ya maji. Hata kifua hunisumbua.

Pole sana mummy. God will reward you in other ways

Hapo gathondeki si unasafisha macho sawasawa na madame wa jogging.

Thank you and Amen. He has by the way.

:D:D:D…but hurumia kidogo…in few months this pick up owner atakuwa recalled kwa ile job yake na mtabaki na mama mboga…atalipisha kisasi

yea ILRI area hujaa sana morning hrs na evening hours…wamama wanapunguza used…literally hundreds of them…alafu hapo kawangware flats zetu almost every mama goes jogging

You are very right. School and restaurant suppliers. They have produce but the market is not available.

bei zikoje

sad

I’d visited that area the other day and realized that the car boot sellers are way cheaper and have more fresh stuff than the established mama mbogas with vibandas from quickmart all the was to the banana junction. Wakwende.

Waliuza nini yako? Acha ushoste!