Jakuon is not brain dead. Uhuru is vv brain dead…dead as a dodo for handing power to this goon. On no 4, he will not be calling out corruption deals any time soon. He is up to his white haired dyed head in it. Wacha akule like anyone else that can. He outsmarted Uhuru if you asketh me.
Buuuuut Jakuon needs to watch out as Murathe is v busy scheming faya…Kwa sasa ni hayo tuu.
Hand cheque ndio msema kweli.
Kitambo picha za baba zote zilikuwa za teargas,amekunja uso,anapigana,ananungunika.
Mwangalie hivi sasa. Amenawiri kweli baada ya masaibu yake kupungua,hela mfukoni hata picha zake ni za starehe.
Atapigania aje haki na ameridhika. Hiyo miaka yote ya kupigania haki za watu punda kachoka!siwezi kumlaumu
I don’t see anything wrong with Jakuon partaking in the free for all. Money is still being eaten and will continue to be eaten by everyone that can so …why not?
You can tell his silence was really bought by the utter nonsense he continues to utter.
Wakule zote wamalize then we go from there.