Parents want to move to mashinani and rent out their house. 5 dogs and 2 cats will be transported by a hired matatu. Is a permit required?
:D:D
This sounds funny
Following…I’ll be transporting dogs too
What is funny buana?
Lol. Just transport your dogs. If it’s not allowed, mtapea polisi hongo and get going
Weka hizo vitu ndani ya ngunia zitaingia hadi kwa mat…
Wacha mchezo buana ati gunia? :D:D:D
Sii uwambie tuu waziachiliwe zikuwe koko kama @uwesmake. Lakini if they insist, chagua ile Kali kwa zote ikae karibu na dirisha. For good effect, ichape viboko on the eve of kusafiri. Itaboeka yake yote sasa ikiona traffic cop na ile kijiti wanakuwanga nayo kwa makwapa itazua ngori ajabu askari will just wave you on.
Tumia gari iko na tint.
A simple letter from your area chief, na vet confirming they have been vaccinated
Zinabebwa kama parcel kwa zile cage.
Is that really necessary? Zote ziko na pappers with up to date vax
:D:D:D:D:D…transporting bitches and pussies hapa hakuna makosa
mifugo ndio inahitagi leseni pekee
Just transport. You’ll deal with any issues that arises on the way
Mkia ya pharmacy niweza toshea a small kitten
Zieke kwa cartoons zimedungwa na mashimo. Dogs are very wuite in the dark. Kabla muanze safari mzipee maji na mfungue dirisha halfway
[ATTACH=full]495657[/ATTACH][ATTACH=full]495658[/ATTACH]
You don’t reason like someone who has a degree
Kwani ni chiwawa?