Iran vs Espana

Kusema tu ukweli Kenya hatu wezi peleka team world cup tu Park basi game zetu zote?

Nanunua mikeka iliyochanika mimi

Kwenye hii gemu inavoonekana ni Hispania ndiyo wanatakiwa wafunge kwani droo ama kufungwa mabao machache bado itakuwa ni Heshima kwa Irani.

Ile ukuta Iran inaweka pale…wueh

I see 5 defenders. I think Wanacheza 5-3-1 but I may be wrong

:smiley: :smiley: :smiley:

Iran wanacheza kwa Jihad sana. Hispania watahitaji mbinu za ziada kupenya ukuta wa Iran.

Mnasemanga park the bus hii ni parking nuclear fuelled train Iranians are funny

Iran have impressed me.

Spain with only one shot on target…:D:D:D:D. Hawa hawawezi shinda World Cup.

Betists najua mmekaza haga mnashindwa kama mlirogwa hii world cup.:D:D:D

Hispania ni timu bora isiyo na bahati kwenye mashindano haya!

More like 8-1-0!

But I like it!

Leo ni kama kuna uchawi huko mother Russia ya kukatsia over 2.5 na gg kwa mechi zote. Damn you muindi :smiley:

Usijali…kesho zote ni sure GG…

Hapa itabidi ninue lube incase mhindi ajaribu kunidry fry.

De Gea could easily have left the pitch and nobody would have realized.

Odds za over 2.5 zimefika 4.3 nani ako na roho?

Unastream Na firestick?

Hio jaribu Na 50/100

gg iko na 5.60 walae. Nabet tu na macho leo si ile siku muindi atanikamua all my winnings:D