Iphones are so overrated.

Sawa slayqueen

Chukua S10 5G, hizi battery zitakutoa nywele, utacharge simu mara tatu kwa siku kama S9.

Link tafazali, hizo group ni nyingi sigwes pata legit unasema.

Redirecting...

Wacha ushamba mboss wee, iTunes ni free bora una laptop, ingia torrent download hii discography ya Eminem unasema kwa laptop, connect laptop na iPhone na cable, fungua iTunes alafu upload hio Discography folder kwa Music, chini ya dakika kumi na umemaliza, pesa utatoa ni ya bundles ama suffericon faimba. Makinika!!

never knew
i thought program ya itunes ni front end ya apple store watu wenye hawataki kutumia browser
kumbe unaweza load chenye unataka

Hata ringtones/notification tones na wallpaper wewe nawesa geuza utakavyo.

Na s20 iko aje?Ubaya ya Samsung ni hii story ya battery kufurafura

Sidhani utapitia hio shida boss mimi nina S22 Ultra na iko sambamba kabsaa sina waswas na mi hushinda mahali weather ni Moto sana. Shika S20+ lakini.

This is problem is with stored phones…phones that are not being put to use…so if you’re buying a phone that you will be using don’t have any doubts

By the way ongea na msito @Axelrod akupigie import deal safi ya @snapdragon , nilipata S22 Ultra Snapdragon kutoka kwake, huku kwote niliangalia nilipata ni zile mikebe za Exynos zenye mashida

Note 20 ultra iko namna gani? Nilipenda design sana

Iko sambamba sana hadi sahii simu kidogo sana zinaweza ifikia. Bora ushike ya Snapdragon si Exynos. Kama singekuwa na uwezo wa kushika S22U, Note 20U , S20+ na S20FE ndio ningelenga.

Iphone ni meffi. Ya so called cool kids. I love my android. My ringtone is my favorite song, custom everything. Iphone lazima ununue hadi ngoma kwa itunes. Not sure kama ziko na memory card slot. Android is used friendly na haisumbui. Never owned and wont own an iphone ever

Hehe ngoma si lazima ununue kaka, unaweza kuload tu hizo pirated ukiwa na laptop, kwa memcard slot nayo zimepotea karibu kwa simu zote hizi siku hata ringtone unaeza badlisha

Niko torn btw note 20 ultra and s21 ultra. Hiyo boxy design ya n20 ultra huwa inanimaliza. We ungeendea gani?

Effidence?

[ATTACH=full]469545[/ATTACH][ATTACH=full]469546[/ATTACH]

S21 Ultra lakini fedha ikikataa Note 20 Ultra, kaa ukijua lakini S21 Ultra kwa batt life ni chini ya hiyo Note20Ultra.

Sugoi man ni mutu ya Samsung Fold.