Mbona hawa wasee wa iphone hufikiria they are using “superior devices”. Tuwaambie ama tusiwaambie?
What can I say!
Even within Android itself, we have mediachieth vs nyapdragon!!!
Exynos Master Race na hatusumbui
Huko exynos mkipata GPU poa kuliko za Mali ndo mtakua master race.
I guess ni vile there are so many fake phones using Android but there are no fakes that use iOS so they must feel superior
So what is fake the android or the phone
Nunua simu unapenda this argument is soo old even on YouTube
Such a time waster
uko na Gionee uniuzie? naipenda sana
Hahaha apana gionee f103 pro ni simu ya maana na ni 15k it will do basic shit
15k kama haina snapdragon siguzi. wacha nikae tu na hii Xiaomi yangu
Then why’d you ask… hizi arguments like nimesema above zinabo
You are slow as 2 sloths trying to have sex
Enda ukajikune makende huko
iphone uses less memory space on apps. Android ni memory-eater beast. So wasee wa iPhone wako poa