Iphone business

Guys I’m planning to venture into the business of selling iphones. Any guidelines and tips to succeed, iphone wholesale plugs and story na kanjo info would really help me out

Uliza agwambo

chungana na simu za wizi za kuwa icloud unlocked. nina marafiki wawili waliingia hii biashara ya kuuza simu na macbooks na pia kuzifanyia service na repair. mwishowe yeye na fundi wake walifungwa na taraklishi na simu za wateja kuchukuliwa na cid. lazima uwe macho sana maana imejaa matapeli wa wizi.

Tafta licence ya kuuza simu from CAK

Inakuanga how much?

Omba usaidisi kwa @samson_maish pale twirra. He has been in that business for a minute.

Its free for the license. But you must have a company and premises, Business permit nd others.
Takes a week after application to get the licence.
There is alot of opportunities in this area if someone has a nice capital for such kind of business.
https://www.ca.go.ke/industry/telecommunication/licensing-procedure/

Hii ongea na msito @Axelrod amekuwa kwa hii biashara miaka.