Weakes iPhone in history
1 Like
Watu wa pesa hawataki vitu rugged.hio ikiharibika wananunua tu mpya maisha inaendelea
Unaongea as a rich man ama wewe ni spokesperson wao bro?
iphone is not for the rich. Huku US watu wananunua hizi simu on contracts. Some contracts hadi 18 months
1 Like
Pia richman hataki hustle ya kutransfer data kila mara juu ya fragile phones.
Android tumekimya
2 Likes
Being rich is relative
1 Like
Samsung any time. I don’t race to keep up with technology…hadi simu ikufe ndio ntashika ingine
2 Likes
Techno is better
1 Like
Hatuna nguFu kapisa
1 Like
Hii ni ile ya India, ya China bado iko strong
1 Like