Investing in low income rentals/ 'Slum' rentals

Wadau anybody has any rentals in slums, ive been eyeing couple of ads on jiji and checked a few shida ni no tittles deeds mingi unapewa allotment letters ama certificates.
Sasa swali ni are those documents legit na gava and is it a viable business ama ni stress tupu.[ATTACH=full]337350[/ATTACH][ATTACH=full]337351[/ATTACH]

Weka lodgo na malanye wa 200

Returns zinarudi faster faster take the plunge

yea ziko na bei poa shida ni how do you certify allotment letters ama certificates…

Kumbuka kuwa slumlord ni kibarua ! sio kazi ya mtu hivihivi it needs you to be super ruthless

Kama hautaki machozi don’t rent out to anyone from Nyanza.

Na niki weka agents wa ku collect rent

haha kwani uko na bad experience with them…

Hao watu wako na herd mentality ya kondoo, rent ya nyumba sikupata for a long period.

I know a chap ame weka ungwaro ! even the agents have their own specialized agents for those plots ! Be ready kungoa milango and such stunts , alafu tentants washeni wana tupa garbage kwa latrine mpaka watu wa honey sucker wana kata kazi yako since their hoses keeps jamming with junk

To be a slumlord, kwanza ukue na militia ya kuenforce rent payment. La sivyo, utalilia kwa pit latrine yako.

Serikali inajirbu kuondoa slums but wewe unaongezea:(

Weka lodgings za 250/- with concealed & tamper proof CCTV with inflexible staff regulations na usafi wa hali ya juu.