Invest na 500K Ksh

Villager kama mimi naeza-invest wapi na dollar mia tano? Esp kwa story za Tech Tech au Websites,Apps etc?

Inbox your email I send you my proposal

[email protected]

500 dollars ni 500k za Kenya?

Hapana mwariiimu wa Ktalk. schools will open soon usijali.

Poorly baked

Hkufunzwa maths na Ngweta :D:D

Your Specialities in IT?

Programming

@omwavu Unasumbua

Sana

Which Languages?

Java, Python.

All of them

Nobody can know all the programming languages.

I am nobody!

Fungua factory ya kutengeneza laptops