Introvert

so apparently all kikuyus have been
reading this tusker advert “TWENDE
RIO” as “twenderio”…
Meanwhile team imefika Rio na tunakudai mchoro ya wanakiji vile wanaendelea huko

1 Like

ikwom asap

“Tuuziwe” ha ha

ARA SI HATA KENYA MBURUARI WAMESEMA TWENDERIO…Kuna ma barmaid wanalipata wakichelewesha hiyo TWENDERIO Tusker

1 Like

Hehehe.
Kwanza team ya Ladies bado sijaconstitute. Wacha nichangamke.

1 Like