system
April 11, 2017, 5:15pm
1
Jamaneni Engineer Ochi tulikukosea wapi? Sasa mbona unatuletea aibu za 2bob? si ungepatia @Colombo-Combolo kazi ya kudesign poster halafu utuite harambee ya campaign hatungekuhepa vile @Adeudeu alihepa mtu wao. Koro magi to ango?(sasa hizi ni nini)
[ATTACH=full]93706[/ATTACH]
shocks
April 11, 2017, 5:19pm
2
Hehehehe, he was able kupata picha ya babu lakini yake ni sketch
system
April 11, 2017, 5:20pm
3
:D:D:D:D
Uchumi iko mbaya saidi.
Samehea mimi bwana.
Amejichora kama amevaa kitenge :D:D:D:D:D
system
April 11, 2017, 5:27pm
5
Hehehehe
Is this for real?
system
April 11, 2017, 5:28pm
6
Mganga Hajigangui, sasa artist pia anajaribu kujichora.
system
April 11, 2017, 5:29pm
7
Kitenge ni wewe.
Hiyo ni suit ya kevlar… Inspired by a tortoise shell.
system
April 11, 2017, 5:29pm
8
ita sisi Fis eating ceremony na tuchange pesa bwana. hizi sasa ni head Swell unatuletea
system
April 11, 2017, 5:32pm
9
Ni vile posters zangu kutoka Illinois zimechelewa kwa jam.
Alafu iyo ata si staedtler na crayons, Ni bic ya china! Uko na ungati unprecedented :D:D:D
system
April 11, 2017, 5:33pm
11
Pesa ni ya petroli banaa Mkarara.
…na WD40…
system
April 11, 2017, 5:34pm
12
kwani bro wa @Okiya yule wa summa cum laude ndiye anaprint?
he he…ni kukaa in testudo kama roman army juu ya CHLM au?
system
April 11, 2017, 5:36pm
15
Ni yeye.
Halafu wewe si utueleze vile date yako na @Kihii Kiaganu ilienda?
shocks
April 11, 2017, 5:36pm
16
@Adeudeu ndio ako most experienced kwa hizi eating events, anafaa kuwa organizing secretary
biraru
April 11, 2017, 5:37pm
17
Hahahah.ati mkarara. Jamaa utanimaliza siku moja
Viking
April 11, 2017, 5:38pm
18
Hehehe, hana pesa ya kugonyo yudhe.
system
April 11, 2017, 5:39pm
19
Apana. Huyo atanyamba stadium ibaki empty.
system
April 11, 2017, 5:40pm
20
Kihii aliogopa kuingia Ole Sereni mimi pia nikakataa kuingia otel mlango wameweka curtain