My car is possessed by a demon. Naiacha parking usiku naamshwa na soldier ati mataa imewaka peke yake:eek::eek:…today was the third time manze. Ni jini gani iko huko ndani
Toa battery lala nayo kejani utarudisha asubuhi. Like in the olden days kwa estate lorry zote zilikuwa zinatolewa battery Usiku juu ziko exposed(canter)
Which model??
That swith stick need replacing
Imelegea sana juu ya kuflash flash watu ukiovertake illegally
Enda nayo church kesho for devotion and anointing.kemea saitan
That was added to cost of doing business, kuna time, back in the days, mtaani tumeamka, only to find, all cars juu ya mawe. Tires stolen.
Wacha kusumbua. Buy spanner ya 150. Loosen up one part ya battery connection till you get money to repair
Akilala na battery pia yeye atawaka mataa.
:D:D
Badala ya kutoa battery toa fuse ya mataa. Kubebana na battery kila siku utachoka.
:D:D:D sometimes kuuliza usaidizi i kijiji ni frustating excess
Very true:D:D:DLakini level heads are coming. Meanwhile ako na four options tonight
Atoe fuse
Atoe battery
Atoe bulbs:D
Awache gari iwake mataa kama kawaida.
:D:D
Ati atoe bulb,who came up with that idea.Savage :D:D:D:D
Mark X 250G
:D:D:D:D:D
Hii gari yako niko sure hunyesha ndani, mbuzi hii
…Leta betslip