INTERVIEW ya NAIROBI

Continued from here

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/interview-nairobi-pt-ii.73212/
INTERVIEW NAIROBI pt II

So nikiwa almost giving up nicall yule cuzo wangu mwenye alikuwa ananitegea kwa one of the shops River road, Kacheliba lane… Nikasikia mtu amenitap mgongo. Nikashutuka lakini kugeuka ni Frasha. And guess what?! Jamaa ako na makungush wawili. I guess macampo mates wake, macoursemate and all the other mates you know so long as kuna mating involved.

Kungush mmoja kaliiiightskin (Vee) kushinda uyo mwingine(Gee) but wote ni malightskin. Nikadhani walikuwa wanasindikizana tu kumbe makungush ni za party. Tukashika mat ya kuenda lucky summer- hood yake Frasha. Nikaona Frasha ako close na Vee nikapata ile signal ya boychild, fisi take Gee to tango. Nikachangamka naye kwani?!..

Kuona ile jaba yangu Gee uyu light skin wangu asa akadai ye pia hucomb. Si tukaanza kuchana. Nikapiga hesabu na vile Gee alichapa ma one two ya ile jaba nikajua hapa hii jaba haitufikishi kesho morning. Kufika lucky nikatafuta vendor nikaongezea jaba. Frasha akadai tuendeni wine and spirits fulani hapo ashike mabidhaa.

Frasha bought Dunhill pako mbili, lime juice mmoja na sprite 2liter. Mizinga tatu- Naps mmoja and Bluemoon mbili. Hatukubargain. Wacha twende tubuy nyama and groceries I wish ungesikia vile Vee na Gee wanabargain nyanya na vitungu as if iyo their life depended on it.

Tukachomoka keja. Frasha said feel at home. The one bedroomed house was just okay for the four of us. The house was lit according to standards of bachelor student mwenye anahustle both day and night lakini anasoma few hours a day. T. V set, sound system on point, carpet iko neat, bulbs za blue nyumba mzima, nacheki blender pale, coffee maker, gas cooker, kettle heater, mapaintings kiasi kwa wall, study table na study lamp, yaani this guy I dint want to ask how all that was bought or where they came from lakini ilikuwa tu lit.

Madame kuona wakafurahi yao yote. Nikatoa sigh of relief… Nikasema this is the time to act as the village king I was too. Kwani majogoo mtajua mi pia nko area. Rusha manyake faster faster. Kila mtu anaparticipate anasaidiana kupika. Nimetoa jaba kidogo nimeseti taxin ju ya table… Food ikawa ready after kidu 1.23hours… Tukachangamkia food.

Party ikaanza. Games za matots hapa na pale. Kucheza macards. Nakuambia Gee na Vee wanachoma zile madunhill. Mi nikasikia tei itaanza kunasa nikarudi kwa jaba kiasi yake. Request hour ikakam through. Jirani akakam aksema tupunguze volume. Wapi sis tupunguze tukapunguza kidogo akiondoka kufika keja yake akasikia volume iko kama before. Then kusuguana na mdame tukiexchange Vee na Gee. Nikasample, tako za Vee zilikuwa zimeweza za Gee.

Tukarelax kidogo tena macadi… Time inasonga kitu saa nane pale on the phone. Majaba zilinishow mi nizime phone after kupata missed call kama kinde ya cuzo.

Karaoke hour sasa ndo ikafika men… Weuh! Kiasi kiasi caretaker ndo akakam… Tukamshow tunareduce. Akaenda akarudi after five mins… Nikacheki Frasha anamchotea za macho na kakapewa nyama fulani ilibaki. Akanice yake yote akiendaga. Sisi nani cheza kama mayut.

Katikati ya kila session mi nilikuwa naona kina Gee na Vee wakienda loo sana. Ilikuwa more frequent than sisi. Nikaasume. So karaoke ikaisha mi nko alert kidogo ju ya Jaba. Naona Frasha almost anazidiwa lakini ako tu pale. Vee akadai ati ako na stuff mpya tutry. Ati tuchemshe maji moto tuchase na makali.
Walevi nani tukakubali wote. Wakanotice ati mi sivuti sigara. Vee akaambia Gee si u kiss him. Nikaona vile huwa wanafanya kwa movie na music Vida. Ile mtu anasmoke anakupulizia smoke kwa mdomo. Nikakohoa kama burukenge.

Games zikaendelea. Nikajua kumbe kumaliza mzinga ni kazi ikifikaga kwa ya tatu. Kiasi kiasi Vee akadai ako na kanyamo na rule was tunaitry wote. Akaitoa sijui kwa socks ama pockets za jacko. Ilikuwa kwa paper. Nikaona ameenda kwa study table. Akajitibu kuisniff. Naye Gee psychophant wake kakafuata. Ikawa Mimi next nikapatia Frasha through pass kwanza. Naye kumbe Frasha alikuwa azime but hataki kusema. Nikacheki kakastagger kuchapa snort.

Akasnort iyo samo ikamtibu immediately akakohoa kama nguruwe iko on heat. Next! All eyes on me. Nikienda Frasha akasink in kwa one of the cushions za kukalia na akalala kifudifudi. Nikachapa round yangu. Nikakohoa kama doggy ina whoophing cough. Mehn! Sikumbuki kitu.

Nilitegea ile alarm yangu ya daily ya 5am iring nichomoke kwenda interview Westie lakini wapi. Woke up… Nacheki kalight fulani alafu upepo kanachapa kale curtain ya mlango… Nashindwa like what’s happening. Nasikia ni kama kuna beep sound continuous kwa akili. Nikastretch nikagusa kaglass… Nikatry kuamka nikaanguka vibaya sana. Nikatake like some few minutes nikagather nguvu nikajikokota nikaamka. Nashindwa Niko wapi. Ndo nikasikia mtu anakohoa the next room. Nikaenda kumbe ni ile side ya bedroom. Ni Frasha!

Nikamuita bado mi nasikia hangover Fulani ngori ni kama nilibeba punda kwa kichwa. Frasha akaamka, nikamuliza kina Vee wako wapi? Akaniuliza ‘ni sangapi?’… Nikamjibu wacha niendee phone. Before nifike pale kwa mlango nikasikia ameshutuka akauliza mattress iko wapi?

Kufdead! We are finished. Ile keja ilibaki hakuna kitu. Kila kitu imeenda except phone yangu ya kabambe na ubaya ni ilikuwa imeanguka kwa ile maji tulikuwa tumechemsha ya kuchase Matei. Na pia documents zangu zilikuwa zimewekwa on the floor.(For this i always want to meet Vee and Gee i dont know if its their real Names and just thank them for leaving my documents) My backpack gone. My boots gone. Frashas everything gone.

Kumbe ukipata umeibiwa ata husikii kahangover?! Niligundua iyo siku. Wapi kina Vee? Nikauliza. Mi sijui but hao madame wameniibia. Frasha akadai. Ati nini? Si ni maschoolie wako, twende tuwakute. Nikadai ivo. Bros hao madame niliwakuta tu kwa gari nikikam I don’t know anything about them. Hapo ndo tukagundua it was 3pm evening Tuesday.

Wadau si interview sikuenda. Nikaona vile my phone inakuwa blow dried. Wakanicharge 50 Bob kwa one of the salons hapo next. Nikapata kuwithdraw ile 4soo. Nikapigia yule cuzo luckily enough alikuwa anaishi lucky summer pia.

Nikampa Frasha doh ya kufika police steshen kureport. Cuzo akakam kunipata. Tukatembea to his keja. Akaniuliza what happened. Nikamshow bros let me take a rest first. The rest is history and government.

(Details so long I couldn’t manage to put all at once).

summary…somebody please

Walilambwa lolo…

alipata frasha, wakapata madame, hao.madame wakawarob na hakuenda interview

You took too long with part 2 mpaka watu wakapoteza flow

These days nikiona part 2 to follow, I jog on.

Me too unless it’s from a known source kama @pseudonym ama @Meria Mata

If they can’t pack lot of action in a few paras like TLS sisomi. But perhaps my biggest pet peeve is wezi wa hekaya from other forums and trying to flog them off as their own. I mean tuandikie a true hekaya. We will not mind the grammatical errors. We are after creativity, sense of humor and also content that we can relate with.

usiniambie hakuna mtu alikamuana??

Hekaya iko on point

Asande.

Nitakwambia

:D:D:D

summarised. are we there?

Hekaya safi

Hekaya safi

Walinunua mzinga tatu, wakanunua nyama, wakanunua fegi na bado hawakutiana