internet speed

i recently connected my home pc to the internet zuku 1mbps.sa ku stream you tube vids ok,local news channel stream ok bt streaming za movies and series sites ni buffering tu…shida inaeza kua wapi wangwana.mnitusi lakini mnisaidie.asande

just download those movies, watch then delete. hata sisi watu wa 20mbps we download

Upgrade to 15mbps

pigia customer care wa zuku

Sijui kama naweza survive Kenya walae…mimi hapa ni unlimited internet …WLAN 30euro per month…

Utasurvive tu. 4,500/- unaget zuku 15mbps.

Hio naweza watch KODI bila interruptions and also play FIFA16 online for hours?

Inategemea na location na pia Kenya Power. Si unajua zuku huwa wameeka mitambo yao kwa poles zao, na pia power ya vifaa zao on those poles. But speed honestly iko sawa sana

Mzito…hebu nikumbushe ile add-on ya kodi ulisema iko poa…
Siku hizi Phoenix na Exodus zimekuwa fake sana.
I want to watch The Blacklist season 3 which is back after a long break. (From episode 18)
Naskia kuna main character anakufa kwa hii episode.

1mbps? This is peasantry…ama uwache tu.

Faimba is good for the office though expensive…Zuku tunakuwanga na hadithi nayo especially trying to stream HD movies nyumbani

Hapana tambua peasant wanainchi.Mimi natumianga access fiber na sisumbui

I cost share 4mbps with a neighbour, 1k each. the 2* mbps is usually enough for his chromcast and my Kodi, at the same time, without buffering. Check in your area if this plan exists

Kuna mtu hutumia hii fibre ya Liquid telcom whtever its called, how is the experience and why are they so expensive?

good idea.provider ni nani??

Mimi hutumia Safaricom Vuma na sijawahi pata shida at all… Ofissi sijui wanatumia ipi

Zuku

Best provider in Kenya is Zote. They deliver what they promise. Zuku is flogging connections like mad but service sucks.

http://www.zotetelkom.co.ke/

Evolve<----jina ya Add on

Zuku 4mbps kwa 2 thao… Na uta Enjoy streamin especially kwa Kodi