Interesting stuff.. Fish farming

Kama ukona space you can try this… Kilo ya fish huwa ni 200 to 500 bob.

Watch the video kama ukona time..

@cortedivoire hapa Kuna Ile thread nmedai kuanzisha.

Hapa ni kuelimishana tu..

Kuna market ya catfish?

1 Like

Yeah, everywhere.

Nmeona ni poa sana, poa sana kwa wale hawataki stress ina wa keep busy, you feed them in the morning na jioni. FOr six months, unauza kama 2000kg na bei ya say 400 bob. Mtu akijipanga mzuri unakuwa na three ponds na anakuwa kwa biashara. Naweza prefer TILAPIA

1 Like

Maji enough iko hapa semi arid area mkuu(kamulu

1 Like

Maji ishafika ya city council

1 Like

Mko nairobi ama mayakos?

1 Like

Nairobi.

Niliskia msee alichapiwa kuku thao huko pande za Ruai. Alipata tuu feathers kwa quarry fulani

1 Like

Noma sana, kuku thao na moja ni mia tatu. 300k ikaenda tu hivo. Kwa mkulima thats a lot.

halafu mzimibiti akitoboa to drain all the water wewe na samaki zako mnaisha ivo

1 Like

Kuna tanks za 1000litres… ushapita city stadium uki3nda na muthurwa? Kuna ta ms fulani za white.. unakata tu hio part ya juu na baas ukona ka pond. Nina a quater of an acre iko idle