Instagram Before the Internet...eh

Radio ilikuwa inajenga status ya ndume sawa sawa. Ungekuwa na telly, radio na bicycle, ungekula kila dem kwa village.

“Baba ya watoto changu ikona radio, pesa sio shida kwake”

5 Likes

Stereo ya cassette :sob::sob:

1 Like

Kuna elders Wana weza kua wame salimiana na huo mzae

3 Likes

Mzae alikuwa anaenda nayo bedroom mnafikiria ameibeba ndio msiharibu ,kumbe ni ya masaa anapiga shughuli😂.

5 Likes